Tanzania and Malawi delegations led by Foreign Affairs Ministers Bernard K. Membe (MP) (Tanzania) and Ephraim Chiume (Malawi), officially submitted written replies on the Lake Nyasa border row, earlier today in Maputo Mozambique.  

The two countries submitted their written replies to the former Mozambique President Joachim Chissano, who leads a panel of former Heads of State of the Southern African Development Community (SADC).  Other mediators include former President Festus Mogae of Botswana and former President Thabo Mbeki of South Africa. 
Former Mozambique President Joachim Chissano (left), welcomes Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation at his office in Maputo, Mozambique during their meeting earlier today.   Minister Membe paid a courtesy visit to submit a written reply of the issues raised by the Mediation Forum of the former African Heads of State and Government of the Southern Africa Development Community (SADC).
Former Mozambique President Joachim Chissano (left), welcomes Hon. Ephraim Chiume, Malawi's Minister for Foreign Affairs and International Co-operation at his office in Maputo, Mozambique during their meeting earlier today.   Minister Chiume had also paid a courtesy visit to submit a written reply of the issues raised by the Mediation Forum of the former African Heads of State and Government of the Southern Africa Development Community (SADC).
Former Mozambique President Chissano holds a meeting with delegation from both Tanzania and Malawi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ziwa Nyasa Malawi hamlipati ng'o !


    Hata Mzee mzima Joaquim Chissano Mpatanishi anaelewa wazi ya kuwa Madai ya Malawi ni ya kijinga:

    1.Kama Malawi inadai ya kuwa tufuate Sheria ya Mjeruamani ya Heligoland Treaty ya mwaka 1890 sasa kwa wakati ule Tanganyika ilikuwa inajukuisha nchi za Rwanda na Burundi kama sehemu yake,,,JE RAISI KAGAME MTAMBEBA VIPI NINYI MALAWI ENDAPO MTAMWAMBIA AIRUDISHE NCHI YAKE IWE SEHEMU YA TANZANIA?

    2.Kama mmesimamia Sheria hiyo ya HELIGOLAND TREATY YA MWAKA 1890 je ni kwa nini Raisi NKURUNZINZA WA BURUNDI NA RAISI KAGAME WA RWANDA WASIWEPO KWENYE HUU MZOZO?

    3.JE KAMA ZIWA LOTE NI LA KWENU NA ILE SEHEMU YA MSUMBIJI KTK ZIWA NYASA MBONA HAMUIDAI PIA?

    4.JE KAMA MPO KTK SHERIA HIYO YA MPAKA YA HELIGOLAND TREATY YA MWAKA 1890 INA MAANA HATA NCHINI KWENU MALAWI SHERIA ZINGINE ZA NCHI ZA MKOLONI ZA MJERUMANI BADO MNAZITUMIA?

    5.KAMA MNADAI SHERIA YA MPAKA YA MWAKA 1890 YA MKOLONI, JE SHERIA HIYO YA MKOLONI NA SHERIA MPYA ZA MIPAKA ZA KIMATAIFA NI ZIPI BORA NA ZA KUFUATWA?

    AMA KWELI WA-MALAWI MMEWEZA KUWAELEIMISHA WATU DUNIA NZIMA YA KUWA KUJUA KIINGEREZA SIO KUELIMIKA!

    ReplyDelete
  2. Duuu hawa Malawians vilaza sana!

    Ama kweli hawa Viongozi wa Wamalawi wanatufundisha ya kuwa kujua Kiingereza sio kuelimika!

    Heliogland Treaty Sheria za Mipaka ilikuwa mwaka 1890 wakati wa Mkoloni (MPAKA WA TANZANIA NA MALAWI KUWA KTK UKINGO WA MASHARIKI WA ZIWA NYASA), Sheria Mpya za Mipaka za Kimataifa (MIPAKA YA KATIKA MAJI KUPITA KTIKAKTI YA MAJI) zikaja baada ya Umoja wa Mataifa UN kuundwa mwaka 1945.

    Kama Sheria ilipita mwaka 2007 huko nyuma na mwaka juzi 2011 ikaja Sheria ya mabadiliko, je Sheria ya Zamani bado itatumika?

    ReplyDelete
  3. Malawi nchi yenywe Masikini sana,

    Maafisa wa Serikali yake wanatumia Nauli za Madege kudai vitu ambavyo havina mantiki!

    Ni bora wangetumia fedha zao za Nauli za Ngede kwa gharama za Maafisa wa Mzozo kwa Uchumi wao ulio yumba kutatua matatizo zao kama njaa na Ukame?

    ReplyDelete
  4. Hawa jamaa nchini kwao wananchi wanaelewa Kiingereza lakini ni ZIRO kwenye UFAHAMU!

    Viongozi wao wanajua wazi ya kuwa Sheria Mpya za Mipaka za Kimataifa zinawanyima wanacho dai.

    Sasa Viongozi wao wanatumia nafasi hiyo kuwapumbaza Wananchi na Kuutumia Mzozo huu ili kujipatia Mtaji wa Kisiasa!

    Si mnajua wanakaribia Uchaguzi?

    ReplyDelete
  5. Hahahaha !

    Hawa ile Kiingereza chao cha YES, OHHH NO na ACTUALLY BECAUSE kinawapa kichwa wakijiona wameelimika!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...