Home
Unlabelled
Tanzania na Uingereza yazindua Ushirikiano Mpya katika Biashara na Misaada
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tanzania ina kila dalili njema kutokana na juhudi za Baba yetu mh Rais.ila jambo moja tu wafuasi wake na watanzania kwa ujumla wa jukumu la kuweka vipaumbele kwenye kansa ya maendeleo ambayo ni Ufisadi kwa kweli bila kujenga jamii yenye discipline katika swala la Rushwa yote yatakuwa bure. ila kuna kila dalili ya sleeping giant kuamka.
ReplyDeleteI just don't get it when in these so called Developed countries like UK, there are still people with no housing and even food. Yet these governments keep pouring monies in LDCs like Tanzania with no results at all. Does the money actually benefit the poor in Ushirombo? No.
ReplyDeleteBora tujimarishe sisi wenyewe kwa Biashara na Ushirikiano kuliko kutegemea Maendeleo kwa Muungao wa wasio aminika ktk hili dudu moja EAC (Umoja wa Afrika ya Mashariki) tena ktk suala la Misaada tuwaombe UK na wengine iwe ni SIRI LAKINI UWAZI UWEPO ILI KUWEZA KUHAKIKI (Tukumbuke kusaidiwa kupita kiasi ni fedheha na sio fahari).
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI TANZANIA!!!
Go,go go,go Tanzania.
ReplyDeleteNafasi kama hii ya Biashara na Misaada na Uingereza na nchi nyingi za Wahisani jirani zetu wa Mashaka Uganda,Kenya na Rwanda walisha ipoteza kitambo kutokana na Misala tofauti waliyoifanya !
1.Uganda, Serikali ya Museveni ilipoteza kwa kuthiri Rushwa na Ufisadi hadi Wahisani wakakata Misaada na Ushirikiano.
2.Kenya, walipoteza Uaminifu kwa wizi na Ufisadi ktk MIRADI, mfano ile MCC-Millenium Challenge Account ya Uhisani wa Marekani , mwaka 2001 Kenya ilizitumia vibaya fedha hizo Marekani wakaamua kusitisha MIRADI YOTE.
3.Rwanda, wamepoteza kwa kusaidia Majambazi wa Kivita.