Meneja wa Shamba la zao la zabibu lililopo Chnangali, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Ronaldaka akisoma taarifa ya shamba hilo, Washiriki wa semina ya Wenyeviti wa CCM kutoka kata za wilaya ya Kinondoni, mjini Dar es Salaam, walipotembelea shamba hilo, jana kujua zao za zabibu linavyozalishwa, changamoto na faida za kilimo cha zao hilo.
Washiriki wakimsikiliza mtaalam huyo
 Meneja wa shamba akiwaonyesha mfumo wa maji unavyofanya kazi kuyavuta kutoka visimani kabla ya kumwagiliwa shambani. Wasita kushoto ni kiongozi wa msafara huo, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mzee Madenge. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...