Mwezeshaji wa mafunzo ya uboreshaji wa uandishi katika mitandao ya kijamii (blogu) kutoka mfuko wa vyombo vya habari Tanzania (TMF) Simon Mkina katikati akimsikiliza kwa makini mwezeshaji mwezake Beda Msimbe wakati akitoa mfano wa uandishi bora wa habari za mitandaoni.
Mkufunzi kutoka Jamii Forums Maxence Mello akiwanoa wanahabari juu ya uandishi bora wa mitandaoni . BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...