Mery
Kanyaga, akimpongeza binti yake, Shelder Boniface ambaye ni mshambuliaji wa
timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20 ‘The Tanzanite’ muda mfupi
baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es Salaam leo, wakitokea Msumbiji katika mechi ya marudiano ya kufuzu fainali
za Dunia za wanawake ambako Tanzanite iliichapa Msumbiji mabao 5-1 huku Shelda
akitupia matatu kati ya hayo.
Wachezaji wa timu ya taifa ya wananwake chini ya
umri wa miaka 20 'Tanzanite' wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea
Msumbiji katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia la wanawake dhidi ya
Msumbiji, ambako Tanzania ilishinda 5-1.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake
chini ya umri wa miaka 20 ‘The Tanzanite’ wakiwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, wakitokea Msumbiji
katika mechi ya marudiano ya kufuzu fainali za Dunia za wanawake ambako
Tanzanite iliichapa Msumbiji mabao 5-1.
TANZANITE TEAM WANAKULA JARAMBA KABLA
YA MTANANGE NA TIMU YA MOZAMBIQUE U-20 UWANJA WA ZIMPETO MAPUTO
![]() |
TOKA KULIA BW. WILFRED KIDAO MKUU WA MSAFARA WA
TANZANITE TEAM NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA TFF, MHE. BALOZI SHAMIM NYANDUGA NA
MWAMBATA JESHI KANAL LWIMBO WAKIWA KATIKA HAFLA FUPI MAKAZI YA MHE. BALOZI.




Watanzania...lets not support losers...hawa ndio wa-kuwasupport...Winners and at a young Age!! Lets go.
ReplyDelete