Mwenyekiti wa Klabu ya Obama Group Dkt. Mwena Issa Omar alievaa miwani na Meneja wa Kitengo cha maradhi yasio ambukiza Zanzibar (NCD) Omar Mwalim Omar wakiongoza mandamano katika madhimisho ya siku ya Kisukari Duniani,yaliofanyika viwanja cha Maisara Mjini Zanzibar.
 Kiongozi wa mazoezi kutoka Klabu ya Obama Group Fatawi Haji Mussa akiongoza mazoezi kutoka Vilabu mbalimbali vya Mjini Zanzibar katika madhimisho ya siku ya Kisukari Duniani,yaliofanyika viwanja cha Maisara Mjini Zanzibar.
 Wasani wa Kikundi cha Black Roots wakiongozwa na Makombora wakionyesha igizo lenye ujumbe athari za ulaji wa halua na uvutaji sigara kwa wagonjwa wa Kisukari katika madhimisho ya siku ya Kisukari Duniani ambapo kwa Zanzibar yalifanyika Maisara Mjini Zanzibar.
Waziri wa Afya Mhe. Juma Duni Haji akiwahutubia wananchi katika madhimisho ya siku ya Kisukari Duniani iliofanyika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...