Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Zimbabwe wakiwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,
kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Taifa Stars utakaochezwa
leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar ers Salaam.
Mkuu wa msafara wa timu ya taifa ya Zimbabwe ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Shirikisho la Soka la Zimbabwe (ZIFA), John Phiri akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili.
Meneja wa timu ya taifa ya Zimbabwe, Patrick Mutesva akiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji wa Radio One, Omary Katanga (kushoto).
Nahodha wa timu ya taifa ya Zimbabwe, Simba Sithore akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchezo huo..
Wachezaji wa Zimbabwe wakipanda basi la wachezaji.(Picha na Habari Mseto Blog).


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...