Naibu katibu mkuu wa
Shirikisho la Wafanyakazi la Kimataifa la IndustriALL,Fernando Lopez
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki, wakati wa uzinduzi wa mradi wa mawasiliano wa Chama cha
Wafanyakazi wa Viwanda,Biashara,Taasisi za Fedha,Huduma na
Ushauri(Tuico) kwa ajili kutoa elimu kwa watendaji wa chama hicho
nchini,Mradi huo umegharimu dola za Kikanada zaidi ya laki 3.
Kulia ni katibu wa Tuico,Boniface Nkakatisi na mratibu wa miradi
wa IndustriALL,Suzana Miller.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...