Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe Jaji Aloysius Mujulizi (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Tume Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso akitoa ufafanuzi wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na maadhimisho ya miaka 30 ya Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Waandishi wa habari wakifuatilia katika mkutano wao na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe Jaji Aloysius Mujulizi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...