Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi (kushoto) akitoa tamko la Serikali kuhusu Siku ya Ugonjwa wa Kisukari Duniani inayoadhimishwa kila mwaka Novemba 14. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Seif Rashid.
 Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Donan Mmbando akitoa ufafanuzi wa namna ya kujikinga na ugonjwa wa kisukari leo jijini Dar es salaam wakati mkutano na waandishi wa habari. Picha na Aron Msigwa - MAELEZO. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mbona hajatoa maelezo namna gani mtu anapata kisukari na njia za kuupunguza au kujikinga nao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...