Kibao cha Mkandarasi anaejenga Barabara ya kutokea Mtaa wa Msimbazi,Kariakoo kwenda mpaka Barabara ya Kawawa pale Kigogo Mbuyuni kama taswira yake ilivyonaswa na kamera mani wa Globu ya Jamii.
 Maendeleo ni kama yanavyoonekana pichani hapa.
 Magreda nayo yanaendelea na kazi zake kama kawaida.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...