Familia ya Bwana Martin Mpankuli wanapenda kukupa maendeleo ya shughuli za msiba wa mke wake Maua Mpankuli,(pichani)
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuondoka Leeds pamoja na Mume wa Marehemu leo tarehe 7 Novemba 2013 kuelekea Dar Es Salaam, Tanzania. Mwili wa marehemu utawasili Dar Es Salaam siku ya Ijumaa tarehe 8 Novemba 2013 saa Tisa mchana (15:00).

Kwa wale waliopo Tanzania, shughuli za msiba zitafanyika nyumbani kwa Kaka wa mume wa marehemu Bwana G E Maganga, Kijitonyama- Kwa Ali Maua. Mazishi yanatajiwa kufanyika siku ya Jumamosi tarehe 9 Novemba 2013 makaburi ya Kinondoni, Dar Es Salaam.

Kwa mawasiliano zaidi kuhusu shughuli 
za msiba Dar Es Salaam, wasiliana na:
Mr Edga Maganga – 0755 454544

Mrs Happy Rwechungura – 0754 607710

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Lala salama dada Mauatutakukumbuka daima.tunaamini umekwenda mahala pazuri dada Mwenyezi Mungu ni mwema na mwenye rehema
    Lala kwa amani dada Maua our super sister

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...