Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Maendeleo ya Kimataifa, Justine Greening (kushoto) kabla ya kuzindua Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo kati ya Tanzania na Uingereza katika Maendeleo ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency- Kilimajaro mjini Dar es salaam (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Shirikiano wa maendeleo kati ya Tanzania na Uingereza katika Maendeleo ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regencey Kilimanjaro jijini Dar. Kushoto ni Waziri wa Nchi wa Uingereza anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa , Jusne Greening (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Baadhi ya washiriki wa Uzinduzi wa Mpaango waUshirikiao wa Maendeleo kati yaTanzania na Uingereza katika Maendeleo ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency mjini Dar es salaam wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia.


Ndugu zetu wa EAC hasa Kenya, Uganda na Rwanda,
ReplyDeleteOhhh wa-Tanzania hawakusoma!
Ohhh wa-Tanzania Kiingereza hawajui!
Ohhh wa-Tanzania hawana akili!
Hivi wajameni picha ya chini Waheshimiwa Vipara vinavyo waka vichwani hapo watasema hao hata Stashahada ama Diploma moja watakosa?
Hivi kujua Kiingerzea kama cha Watani zetu Kenya ndio kuelimika?
Nani alisema Elimu ndio kigezo ktk uendeshaji?,,,elimu inasaidia kuborehsha uwezo wa kiuehdeshaji mbona uvumbuzi wa Kisayansi huweza kufanywa hata na asiyesoma?
KAMA TANZANIA HATUKUSOMA AMA HATUNA AKILI ,TUNGEWEZA KUTAMBUA MKENGE ULIOPO KTK UMOJA WA AFRIKA YA MASHARIKI?
NDIO MAANA TUMEAMUA KUTOKA KIYVETU VYETU KWA SASA TUNAWEKA UHSIRIKIANO NA UINGEREZA KTK BIASHARA NA UWEKEZAJI KAMA HAPO ILI TUENDELEE KULIKO MKUTEGEMEA DUBWANA MOJA LISOLO AMINIKA KAMA EAC!!!