Mkuu wa wilaya ya Kilwa Mh. Abdallah Ulega akifungua mpango wa kunusuru kaya maskini unaotekelezwa na TASAF awamu ya tatu. Mpango huu ulizinduliwa na mh. Rais Dk. Mrisho Jakaya Kikwete mwezi Agosti mwaka 2012 mjini Dodoma. Mpango huu unalenga kuzinusuru kaya maskini kwa kuziwezesha kuboresha kiwango cha matumizi ili waweze kugharamia huduma za elimu na afya.

Mkuu wa wilaya ya Kilwa Mh. Abdallah Ulega katika picha ya pamoja na wajumbe baada ya kufungua mpango wa kunusuru kaya maskini unaotekelezwa na TASAF awamu ya tatu. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...