Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Bw. Yusuph Mwenda(katikati) akisikiliza jambo toka kwa Ofisa Mkuu wa kitengo cha Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Bw.Hassan Saleh(kulia) muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi duka jipya la Vodacom lililopo Shamo Tower Mbezi beach gorofa ya kwanza jana jijini Dar es Salaam.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Bw. Yusuph Mwenda akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa duka la Vodacom Tanzania lililopo Shamo Tower Mbezi beach gorofa ya kwanza jijini Dar es Salaam,wengine kulia ni Meneja wa duka hilo,Bw.Kartic Subramaniam na kulia ni Ofisa Mkuu wa kitengo cha Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Bw.Hassan Saleh.
Mkuu wa kitengo cha Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Bi.Pendo Richard (kulia) akimuelezea Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda matumizi ya baadhi ya bidhaa zinazopatikana katika duka jipya la kampuni hiyo,Mara baada ya Meya huyo kuzindua duka hilo jana Shamo Towers gorofa ya kwanza, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mkuu wa kitengo cha Mauzo na Usambazaji wa kampuni hiyo,Bw. Hassan Saleh.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...