Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kinyerezi- Segerea,yamekuwa yakiendelea vizuri kadri siku zinavyokwenda kama inavyoonyesha pichani hapa.Ujenzi wa Daraja hili ulianza mwezi Septemba,2013 na sasa unaelekea ukingoni.
Magari mbali mbali yakiendelea kupita kwenye njia ya dharula iliyotengenezwa ili kupisha ujenzi wa Daraja hilo.
Kibao cha Mkandarasi anaetengeneza barabara hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...