Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele akieleza kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maazimo yaliyofikiwa kwenye mkutano wa 23 wa wanachama na wadau wa mfuko huo uliofanyika Arusha October mwaka huu ambapo moja ya maazimio ni waajiri kuwapa fursa wafanyakazi wao kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii.katikati ni Meneja Uwekezaji wa mfuko huo Bw. Selestine Some na Mwishoni ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bi. Fatma Salum.
Meneja Huduma kwa Wateja na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. Godfrey Mollel akieleza kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) mpango wa mfuko huo kufikisha wanachama 400,000 ifikapo mwaka 2015, kwa sasa mfuko huo una wanachama takribani 300,000,kushoto ni Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele.
 Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano na Mfuko wa Pensheni wa PPF katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Silayo- MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...