Wachora katuni kutoka kundi la WAFANYE WATABASAMU: Said Michael ‘WAKUDATA’, Nathan Mpangala ‘KIJASTI’ na Abdul Kingo ‘KABOKA MCHIZI’ wanao wakilisha vyombo mbalimbali vya habari nchini, walitoa mafunzo ya uchoraji kwa watoto walio katika kituo cha kukuzia vipaji cha KokoTEN Art Centre, Lushoto, mkoani Tanga.

Wafanye Watabasamu na wachoraji wa kesho wa KokoTEN Art Centre, Lushoto, mkoani Tanga. Mafunzo hayo ya siku moja ya uchoraji yaliyofanyika Novemba 16 yaliandaliwa na KokoTEN Art Centre. Wachoraji katuni Nathan Mpangala, Abdul King O na Said Michael 'Wakudata' waliwatabasamisha watoto wa Lushoto.
Mchora katuni,  Nathan Mpangala 'kijasti' akiwafundisha watoto jinsi ya kuchora.
 Abdul King O akiwapa maelekezo ya matumizi ya rangi za uchoraji.
 Wachora katuni, Said Michael 'Wakudata' na Abdul King O wakijiandaa kutoa mafunzo.
 Nathan Mpangala akitoa maelekezo kwa watoto waliokuwa mafunzoni.
 Watoto wakichora michoro wakati wa mafunzo hayo.
Wachora katuni, Said Michael 'Wakudata' na Nathan Mpangala 'kijasti' wakiwafundisha watoto kuchora katuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...