Ankal (kati) akiwa amekula pozi na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Vodacom idara ya Wateja wa Mikataba  (Business Enterprise Unit) wakati alipofika kuwasabahi.toka shoto ni Edna Mtema, Somoe Wamala, Asteria Mallya,Bakari Kunenge, Happy Shuma pamoja na Nureen Nyagiro.
Ankal (pili kulia) na Wadau wa Vodacom idara ya Wateja wa Mikataba  (Business Enterprise Unit).toka shoto ni Dia Missana, Stima, Ankal na Simon Martin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mjomba Michuzi,

    Sio tu uwatembelee ofisini kwao Vodacom na kupewa chai na soda tu, wamaambie na wewe wakuingize ktk Droo na wewe Ukombe mabunda yako ya Noti !!!

    ReplyDelete
  2. Ni Bakari Kamenge sio Kunenge

    ReplyDelete
  3. Duh! baada ya kutoka Sauzi siku hizi Ankal anashuka na Mandelasuit sehemu zote sijui ze fulazzzz kaitupa ma vipi?
    - Mr Mhoja - Sweden

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...