Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza na Viongozi wa Wanafunzi wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Ghent waliofika ofisini kwake leo Brussels kumweleza changamoto mbalimbali zinazowakabili na kumuomba awasaidie kuzungumza na Mabalozi wa nchi za Afrika, Karibiani na Pacific ili kutafuta ufumbuzi.
Home
Unlabelled
BALOZI KAMALA AKUTANA NA UONGOZI WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA GHENT - UBELGIJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kama ni wanafunzi wa Tanzania wanataka Balozi aongee na hizo nchi nyingine ili iweje? Sijaelewa kitu labda mfafanue.
ReplyDelete