Home
Unlabelled
Dar by night
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Madiaspora Majuu mnaiona Bongo Daslam hiyo ilivyo?
ReplyDeleteMasikini wee, Ankali Michuzi anajituma sana na Kamera yake kifuani usiku na mchana kukurushieni Tawsira mwanana za Jiji !
Lakini watu wenyewe Majuu wanaofanyiwa jitihada hii wala hamnazo, tokea picha zipo hweani jamvini hakuna hata maoni watu wanabishana kwa marumbano na kutoana majasho kwa Mjadala wa viatu vya Mandela!
Kwa haraka haraka hii Taswira ya Usiku Bongo-Darisalama haina tofauti na New York Marekani!
ReplyDeleteLabda tofauti ndogo ni kale kamgao kwa umeme tu!
Safirini jamani msio mnalinganisha tuu bongo na newyork. Kama nchi ni masikini ni masikini kuongopa haitasaidia
DeleteWamajuu wengi hamhsauriki na kushawishika juu ya kurudi Bongo!
ReplyDeleteLicha ya Taswira anazorusha mara kwa mara Mjomba Michuzi, ili kuwavuta.
Ni kuwa wengi mliondoka kwa Misala na Majanga mliyoyaacha kwenye familia zenu Tanzania, ikiwemo mazishi ya fedha, uzimaji, kuuza Maredio na Mafriji majumbani mkitafuta nauli za kwenda Majuu!!!
Unaonekana kama una ka wivu flan hivi kwa watu walio majuu. Kwani lazima kurudi kuishi bongo? So funny
DeleteANKAL onesha na takataka zinazotupwa barabara mpya ya morogoro. Bado the bush is still in the african tena ni mafurushi kutoka mahotelini
ReplyDeleteMaashala jiji kwa view imekubali lakini ukiwa ndani ndiyo utajua jiji vizuri mara umeme umekata maji hakuna mbu usiseme ili mradi balaa mtindo mmoja asante raisi wetu umejitahidi kiasi chako
ReplyDeletePicha nzuri anazotutupia Ankal ni nzuri sana na ndivyo inavyotakiwa katika tasnia ya uandishi, kuonyesha mazuri na mabaya. Lakini waandishi wa Ughaibuni habari nzuri za Afrika ni kuonyesha mabaya ndiyo habari nzuri kwao na kuelimisha watoto wao. Utashangaa hata Wabongo wenzetu wanaoishi huko huunga mkono uozo wa habari kama hizo badala ya kuwakomalia waandishi hao na ikiwezekana Ubalozi kuingilia kati.
ReplyDelete- Mr Mhoja - Sweden
Many thanks to the dear " MBALAMWEZI".
ReplyDeleteTuonyeshe na mburahati, yombo,tandale,menzese,mbagala,dar ni chafu inanuka,msongamano,joto,vumbi..its worse
ReplyDeleteSo funny mtu anapoifananisha dar na newyork. Watu safirini na nyinyi mjionee nchi za wenzenu ndo muilinganishe na bongo. Na kuhusu watu wa majuu kurudi bongo kwani hivi niuluze maisha si popote? Kwani lazima kurudi bongo tuu? Wivu mwingine bana.
ReplyDeleteKwani mpk kila mtu anayeishi bongo lazima arudi huko? Life ni popote sio. Acheni wivu jamani .
ReplyDelete