Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza,Mh. Peter Kallaghe akiwa katika  mazungumzo na Msanii wa Muziki wa mduara nchini, Zuwena Mohamed 'Shilole' wakati alipotembelea Ubalozini nchini Uingereza.Shilole yupo nchini Uingereza kwa ajili ya shoo moja iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Ville 640 Ripple road ndani ya Barking IG11 0SR.kwa ushirikiano na Msanii mwenzake AT a.k.a Mfalme wa Mduara.
Balozi Peter Kalaghe akijungumza jambo na Mdau Ayoub Mzee wakati alipoongozana na Msanii Shilole ubalozini hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hawa wasanii hawafundishwi wavae vipi wakikutana na waheshimiwa? mavazi ya stejini, mitaani na kwenye ofisi ya mheshimiwa ni tofauti. Shilole angependeza sana angekuwa na vazi la kitenge au kajisuti. sio tights za stejini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...