Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Waziri Mkuu atakuwa amewaelewa, ni kwamba Waziri Mkuu asitetereke katika kusimamia maamuzi ya serikali ambayo yamepatikana kwa kushirikisha wadau na kwa tafiti ya kisayansi. Wataalamu wameshauri kulingana na hiyo tafiti, kwa hiyo twende tuendelee, ahsante muliemwandikia waziri mkuu na kumtaka ashughulikie suala la elimu ipasavyo. Tutafika tu Muumba akipenda, hii ni nchi yetu na siye tuliyopo kwenye ardhi hii ndio wananchi wenyewe. Tupige kazi tusonge mbele, tuwaachie vitukuu yaliyo ya kheri na kuushinda ukoloni mamboleo (neo-colonialism).

    ReplyDelete
  2. Naungana nanyi pia kumpongeza waziri mkuu,prof.sifuni, na tume.....ila mulugo inaonekana wazi ni kimeo!

    ReplyDelete
  3. Nini tena hii sasa?

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...