Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati), akimpa pole balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza alipofika ofisini kwake jijini Dar es Salaam, kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa.(Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akimpa pole Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza.
 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akimpa pole Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza.
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Edwin Nchimbi akimpa pole Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Kwanza wa Balozi wa Afrika Kusini, Joymery van de Merue akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDBTully Mwambapa.
Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei 
Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei. 
Dk. Kimei akiagana na Balozi Chiliza.
Dk. Kimei akitoka nje ya ofisi ya Balozi.
Dk. Kimei akiongea na waandishi wa habari. 
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akiagana na Balozi wa Afrika Kusini nchini, Henry Chiliza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...