Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na Wanahabari katika Bonanza la Viongozi
Wanawake wa Afrika lililofanyika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Viongozi Wanawake wa Michezo wa Afrika wakiangalia
Michezo katika Bonanza lililofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
majani choka mbaya
ReplyDelete