Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa (Redreben) alama maalum ya Ukimwi,na Zainab Khamis, Mhamasishaji Tume ya Ukimwi Zanzibar,wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Paje Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo kila ifikapo tarehe 1 Disemba
hufanyika maadhimisho
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji,alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto),kuzungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) alipokuwa akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,(kushoto)  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji, na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,Dk.Idrisa Muslim Hija
Baadhi ya wananchi walioalikwa katika hafla ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi,wakisoma majarida yaliyotolewa katika maadhimisho hayo  yaliyofanyika Paje Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, Picha  na Ramadhan Othman,Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...