Godown linauzwa bahari beach kondo karibu na kanisa katoriki bahari beach.Linafaa  sana kwa kanisa au  kuwa ghala la kuhifadhia vitu ,Linafaa kwa  matumizi mengine.Kiwanja kimepimwa na kina hati.Mna nyumba ya kuishi familia mbili,ofisi na stoo ya nje maji ya dawasco na umeme wa tanesco upo .Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba+255756666708 au email mwijo70jojo@yahoo.co.uk

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Town planners mko wapi? eneo la bahari beach na godowns wapi na wapi? Bora sehemu ya kuabudu kwa waumini wa makazi ya eneo lile au hoteli. Lakini godow bahari beach area!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Why selling such a property?? Au bank wamekutembelea ......??? Pole

    ReplyDelete
  3. anonymous 2 kindly note that selling, leasing,assigning, enjoying, mortgaging,developing, investing a property are the rights of owner,(they are called bundle of rights) it look like you are taking your personal wishes to other people. People with kind of your thinking are always making the development of land stagnant as you dont either sell for highest and best use. the genuine Question here is for the land planner and land officer as to HOW a commercial use in the middle of mbezi residential area?. Also why are they saying that it can be used for praying..as all these are uses which planner should have predefined?....Hon. mama Tiba and Hon. Halima Mdee mimi ni mdau wa ardhimpooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...