Pamoja na mvua kubwa kunyesha maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini pamoja na viongozi wa nchi zaidi ya 90 walifurika katika uwanmja wa FNB jijini Johannesburg leo. Picha hii imepigwa toka stendi ya VVIP walikokaa viongozi na watu mashuhuri.
Habari na picha zaidi zaja...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...