Bondia Iddy Mnyeke  akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala  Amana CCM Dar es salaam. Mabondia hawo watapanda ulingoni kuwakabiri wapinzani wao ambapo Mnyeke atacheza na Cosmas Cheka na King class Mawe atazidunda na Mohamed Kashinde Desemba 31, 2013 katika ukumbi wa Msasani Club. Kulia ni kocha Mkongwe Habibu Kinyogoli 'Masta'
Picha na Super D

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...