MRATIBU wa Kambi ya siku tatu ya huduma za meno bure zitazotolewa Zanzibar kuanzia disemba 5-7, Ali Jivraji (katikati) akitoa maelezo ya Kambi hiyo kwa Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali (hawapo pichani) katika Hoteli ya Beit al Salaam iliyopo Shangani mjini Zanzibar, kulia Mkurugenzi  mauzo wa Hoteli ya Doubletree ya Dar es Salaam, Florenso Kirambata ambao ni wadhamini wa kambi hiyo na Mkurugenzi wa Zanzibar Help Foundation Dk. Feroz Jafferji.(
MKURUGENZI Mauzo wa Hoteli ya Doubletree ya Dar es Salaam, Florenso Kirambata ambao ni wadhamini wa kambi ya siku tatu ya huduma za meno bure inayotegemewa kuanza tarehe 5-7 mwezi huu akitoa ufafanuzi kwa Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakiitangaza kambi hiyo, kulia kwake Mratibu wa kambi hiyo,  Ali Jivraji na Mkurugenzi wa Zanzibar Help Foundation, Dk. Feroz Jafferji. Mkutano huo ulifanyika katika Hoteli ya Beit al Salaam iliyopo Shangani mjini Zanzibar.
Picha zote na Haroub Hussein).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...