Hii ni timu ya kilimanjaro Stars wakiwa katika Picha ya pamoja Kabla ya mchezo huo kuanza jijini Nairobi. Mashindano ya CECAFA  Senior Challenge Cup 2013 yanaendelea hapa Kenya NA Kilimanjaro Stars Leo 1/12/2013 wamecheza na timu ya  Taifa ya Somalia na  kuifunga bao 1-0.
 Mpira ukiwa Kati Mara baada ya Kilimanjaro Stars kufunga goli hilo
Katika mchezo Huo Bwana innocent Shiyo mwenye tai nyekundu alimuwakilisha Mh, BALOZI Batilda Burian. Kulia ni BALOZI wa Somali nchini Kenya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...