Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi cha wiki hii, mjadala ulikuwa KWANINI WANANDOA HUTEMBEA NJE YA NDOA?
Mbali na washiriki waliokuwa studio, pia tuliweza kusoma maoni toka kwa wasikilizaji wetu wanaoacha katika kurasa zetu za FACEBOOK
Karibu uungane nasi.


Ukiwa na maoni, maswali ama ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia jamiiproduction@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hamna cha kufanya ee!

    ReplyDelete
  2. Wangefungua radio za kuwatangazia Wamarekani. Huko Bongo hatuhitaji mawazo yenu. Dunia nzima inajua watu wanaoishi Ughaibuni wana maisha mazuri kuliko nchi zinazoendelea, sasa hakuna sababu ya kudodesha waTz mafanikio yenu huko.

    ReplyDelete
  3. KWA NINI WANANDOA HUTEMBEA NJE YA NDOA?

    JIBU NI MOJA TU NA LINA MATAWI MAWILI (2) TU:

    JIBU: ni UJINGA WA MANANDOA
    (i)Tamaa:
    Wengi huingia ktk ndoa wakiwa na matarajio makubwa zaidi ya uhalisia wa Changamoto halisi zilizopo kwenye Ndoa na Maisha kwa ujumla, hivyo wanapoingia na kukosa walichotarajia ndio hugeukia kwenye (UJINGA WA Tamaa) ya kutembea nje ya Ndoa zao.

    (ii)Kuendekeza Umasikini:
    Kwa kutokana na sababu Namba (i) juu unakuta miongoni mwa Wanandoa wanakosa uwezo wa Kifikra katika kutafakari jinsi ya kukabiliana na Changamoto za Maisha hivyo wanajikuta ktk (UJINGA WA KUENDEKEZA UMSIKINI) kwa kutembea nje ya Ndoa zao.

    Kama Tatizo ni Kipato, pana njia sahihi za kuleta Kipato ktk Ndoa na sio kutoka nje ya Ndoa ama kutafuta chochote ama kubana matumizi.

    ReplyDelete
  4. Mdau wa juu

    ...Hamna cha kufanya ee!...

    Hilo ni Suala nyeti sana na janga ktk Familia nyingi.

    Majumba na Mahusiano ndani yanatetema, yanayumba,

    Watu wanalaliana Mzungu wa nne,

    Watu wanalaliana na Mapensi ya Jeans!

    ReplyDelete
  5. Harusi nyingi mjini hapa ni feki. Watu wanaiga mapenzi ya kizungu ambayo hayaendani na culture za kiafrika matokeo yake ni talaka ah kwa wengine sio talaka ni kutengana halafu kutafuta mwingine. Hizo sherehe basi ni fahari ambayo wanandoa hawamudu bila ya michango ya lazima. Baadae anaishia kupanga vyumba viwili vya uwani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...