Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk
Goodluck Ole-Medeye (katikati), akiongoza wahitimu wa Mahafali ya 15 ya Chuo
cha Uhasibu Arusha (AII) kuelekea kwenye viwanja vya chuo hicho, muda mfupi
kabla ya kuwatunuku vyeti kwenye fani mbalimbali mkoani humo mwishoni mwa wiki,
wa kwanza ( kushoto) ni Mkuu wa Chuo hicho Prof Johannes Monyo, na Mwenyekiti
wa Bodi ya uongozi wa (AII), Mwanaidi Mtanda.
Maandamano yakielekea eneo la tukio
Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (AII), wakivaa kofia zao
muda mfupi baada ya kutunukiwa vyeti vya fani mbalimbali zinazotolewa chuoni
hapo, kwenye sherehe za mahafali ya 15 zilizofanyika kwenye viwanja vya chuo
hicho mwishoni mwa wiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...