Haya ni baadhi tu ya mambo utakayokutana nayo utembeleapo Dar es salaam Zoo kilometa kama 37  baada ya kuvuka ferry ya Kigamboni. Kwa habari zake zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mnhhh!!!

    Hiyo Pafyumu ya Ushuzi wa Fungo, hata Michuzi ukinipa US$ 1 Mil. sijipulizii ng'o !

    Kwanza itakuwa sio Tohara!

    ReplyDelete
  2. Ohhhooo Perfume hiyo haina Virusi vya mafua ya nguruwe?

    ReplyDelete
  3. Masheikh wenye Ilmu zenu wa humu Jamvini nauliza,

    Je mfano leo Ijumaa nimevaa kanzu nzuri pafyumu hiyo ya ushuzi wa mnyama kama Fungo itaswihi kupulizia ktk Kanzu ya swala?

    ReplyDelete
  4. Hata Perfume 'Chanel No. 5' inasemekana ime contain civet.

    Mdau wa kwanza ukianza kusema haiko 'twahara' kumbuka hata baadhi ya vyakula au madawa tuyatumiayo baadhi yake yame contain kitu kinachoitwa 'gelatin/gelatine' na inasemekana nyingine hupatika toka kwa pigs and other animals pengine hata machinjo yao siyo kwa mujibu wa 'Imani' yako ya kuabudu, sasa hapo imekaaje napo?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...