Rais wa Marekani,Barack Obama na Waziri Mkuu wa Uingereza,David Cameroon wakipata picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt wakati wa Shughuli ya Kumbukumbu ya Rais wa Zamani wa Afrika Kusini,Mzee Nelson Mandela,iliyofayika jana kwenye Uwanja wa FNB Soccer City,jijini Johannesbrurg.Kulia ni Mke wa Rais Obama,Michelle Obama akiwa hana habari na taswira hiyo.
Home
Unlabelled
MAMBO YA TASWIRAZZZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



This is what Michelle is thinking "Viangalie hivi vibeberu, nyoo.. kazi kujigonga gonga na kumpapatikia Binti wa kidanishi (kaolewa huyo na motto wa Kinock), mwenyewe mimi hapa nimetulia kama maji ya mto wenye kina kirefu, nawe Barry utanikoma tukirudi nyumbani, hii ndo adabu gani, ntakupiga konzi wewe, we cheza na mimi"
ReplyDeleteMichelle: What idiots!
ReplyDeletei like the first comments. it is si funny.
ReplyDeleteNa wao wakina Obama, mambo ya selfie wakati wako kwenye maombolezo! yaani ka watoto vile!mikubwa mizima
ReplyDeleteOhooo!
ReplyDeleteYasije yakatokea ya Clinton na Lewinsky!
Michelle anakumbuka Historia hiyo iliyoitikisa Ikulu yao na ndio maana ana wivu sana kwa Mumewe Barrack!!!
Aibu tupu. Au dharau? They should follow the example of our dignified president. Mambo ya selfie kwenye kilio is a definete no and not a place to pull... Mind you, the lady is quite attractive. So who can blame them? Nevertheless it is not the place or time for the selfie activities.
ReplyDelete