Rais wa Marekani,Barack Obama na Waziri Mkuu wa Uingereza,David Cameroon wakipata picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt wakati wa Shughuli ya Kumbukumbu ya Rais wa Zamani wa Afrika Kusini,Mzee Nelson Mandela,iliyofayika jana kwenye Uwanja wa FNB Soccer City,jijini Johannesbrurg.Kulia ni Mke wa Rais Obama,Michelle Obama akiwa hana habari na taswira hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. This is what Michelle is thinking "Viangalie hivi vibeberu, nyoo.. kazi kujigonga gonga na kumpapatikia Binti wa kidanishi (kaolewa huyo na motto wa Kinock), mwenyewe mimi hapa nimetulia kama maji ya mto wenye kina kirefu, nawe Barry utanikoma tukirudi nyumbani, hii ndo adabu gani, ntakupiga konzi wewe, we cheza na mimi"

    ReplyDelete
  2. Michelle: What idiots!

    ReplyDelete
  3. i like the first comments. it is si funny.

    ReplyDelete
  4. Na wao wakina Obama, mambo ya selfie wakati wako kwenye maombolezo! yaani ka watoto vile!mikubwa mizima

    ReplyDelete
  5. Ohooo!

    Yasije yakatokea ya Clinton na Lewinsky!

    Michelle anakumbuka Historia hiyo iliyoitikisa Ikulu yao na ndio maana ana wivu sana kwa Mumewe Barrack!!!

    ReplyDelete
  6. Aibu tupu. Au dharau? They should follow the example of our dignified president. Mambo ya selfie kwenye kilio is a definete no and not a place to pull... Mind you, the lady is quite attractive. So who can blame them? Nevertheless it is not the place or time for the selfie activities.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...