Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akisoma historia ya marehemu Mteming'ombe huku naibu katibu mkuu CCM Bara Bw Mwigulu Nchemba akionyesha kufuta machozi |
Mjane wa Mteming'ombe akiweka maua |
Mzee Mteming'ombe akiweka shada la maua |
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akiweka shada la maua |
mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Ishengoma akiweka shada la maua Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...