Mdau Francis Shirima na Winnie wakipozi kwa furaha baada ya kumeremeta Jumamosi hii katika Kanisa Katoliki la Kijenge jijini Arusha na baadaye kusherehekea katika mnuso wa nguvu katika ukumbi wa Poligon hapo hapo jijini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. WAMEPENDEZA SANA.LAKINI MBONA HAKUNA MAELEZO,KAMA WAZAZI WALIOSIMAMA HAPA NI UPANDE WA MWANAMKE AU MWANAUME?

    ReplyDelete
  2. Does it really matter?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...