IMG_9729
Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Bi. Fatema Jaffer, akizungumza na waandishi wa habari juu ya umuhimu wa kusaidia jamii kupitia (Corporate Social Responsibility) kama njia mojawapo ya kupiga vita umaskini katika nchi za bara la Afrika. Kushoto kwake ni Meneja Mkuu Ledger Plaza Bahari Beach, Wissem Souifi, Kulia ni Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Frost Africa, Bi.Lilian Ngowi na Kushoto ni Irfaan Jaffer kutoka MeTL.
.Lengo la maonyesho ni kusaka vipaji miongoni mwa vijana
.Kuanzia siku ya Krimasi hadi Boxing day zawadi mbalimbali na Tsh m kushindaniwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...