Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi Bungeni Dodoma hiyo. Kamati hiyo imekaa leo kupitia ratiba ya shughuli zitakazokuwemo kwenye mkutano wa 14 wa Bunge ulioanza leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.
Majumbe wa Management ya Bunge ambao ni Maafisa wa Bunge wakifuatilia kwa umakini kikao hicho cha kamati ya Uongozi. Picha na Owen Mwandumbya
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...