Mkuu
wa mkoa wa Simiyu Mhe. Pascal Mabiti akimhakikishia Mkurugenzi Idara ya Uratibu Ofisi ya Waziri
Mkuu Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba
jinsi mkoa huo utakavyo tekeleza Mpango Wa
Kujiandaa Kukabili Maafa katika mkoa wa Simiyu,
wakati wa uzinduzi wa mpango huo jana.
Mkuu
wa mkoa wa Simiyu Mhe. Pascal Mabiti akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mpango Wa Kujiandaa Kukabili Maafa katika wilaya
hiyo, wakati wa uzinduzi wa mpango huo
Wilayani Bariad jana (kulia) ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Ofisi ya
Waziri Mkuu Lut Jen (Mst)
Sylivester Rioba.
Mkuu
wa mkoa wa Simiyu Mhe. Pascal Mabiti (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya
pamoja na Wajumbe kutoka mkoa wa Simiyu mara baada ya uzinduzi jana Mpango Wa Kujiandaa Kukabili Maafa katika
mkoa wa Simiyu (wan ne toka kushoto) ni Mkurugenzi
Idara ya Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...