Mdau Khalid Ubwe Rubama akifurahia na familia yake baada ya kulamba nondozzzz ya Masters ya Utawala Chuo Kikuu cha Mzumbe University , Dar es salaam Campus, jana. Khalid ni mmoja wa wadau wakuu wa Globu ya Jamii ambaye mchango wake wa mawazo umekuwa na faida sana katika kuendeleza Libeneke. Hongera sana Khalid!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana Mdau mwenzetu Jamvini Khalid U. Rubama !

    Tunatumaini Mchango wako utazidi kuwa mkubwa zaidi kwa Shahada ya Pili uliyoipata!

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Kiongozi Rubama kwa hatua hiyo!

    ReplyDelete
  3. 'Ilmu' (Elimu) uitumie vyema ndugu yetu!

    ''Manadhiru Minna Quraan Shufaa Wa Rahman Muslimina illa Khasara''

    Mwenyezi ametuletea Ilmu (Elimu) ili ije kuwa msaada na tahafifu kwetu, lakini yule ambaye ataitumia visivyo Ilmu 'Elimu' KAMA KWA KUWAKOMOA WENGINE atapata adhabu kali sana na atakuwa amepata hasara!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...