MAHALI: 397 EUCLID AVE, OAKLAND CA 94610
AJENDA:
·         KUJADILI UHAI NA MENDELEO YA TAWI
·         KUJADILI NA KUPEANA MIKAKATI YA KUFANIKISHA SHEREHE ZA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWA CCM- ZITAKAZOFANYIKA HAPA OAKLAND TAREHE 8 MWEZI WA PILI  (FEB 8TH)
·         KUJUANA ZAIDI NA KUUNGANIKA  NA MARAFIKI ZETU WENGINE AMBAO SI WANACHAMA KATIKA SHUGHULI ZA KUTUNISHA MFUKO,IKIWA NI KUNUNUA VINYWAJI, VYAKULA MBALIMBALI, NA MINADA YA VITU MBALIMBALI. (BAADA YA 6PM)

WOTE MNAKARIBISHWA,NA PIA TUTAGAWA KADI KWAWANACHAMA WAPYA.
KAMA UNATAKA KUBURUDIKA NA WEWE SIO MWANACHAMA BADO UNAKARIBISHWA BAADA YA MKUTANO WETU TUUNGANE PAMOJA KWA MAONGEZI YA KAWAIDA KAMA WATANZANIA.
IMETOLEWA NA:
ERICK BYORWANGO-KATIBU WA TAWI. (510-5205995)

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...