Meya
wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf
Mwenda akionyesha simu za mkononi zitakazo tumika kuchangisha fedha kwa ajili
ya Mpango maalumu wa kuchangia
wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam baada ya
kuuzindua rasmi. Mitandao ya simu itakayotumika
ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba 0712200022.
Wanafunzi wenye Ulemavu wa kusikia(viziwi)pamoja na walimu wao wakiimba wimbo wa Taifa kwa kutumia lugha ya alama wakati wa uzinduzi Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam. Mitandao ya simu itakayotumika ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba
Meya wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza kwenye uzinduzi Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Elimu Manispaa ya hiyo, Hussein Ramadhani na Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo aliye mwakilisha Mkurugenzi…. Mitandao ya simu itakayotumika ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba
Mwenyekiti wa Vitengo vya Elimu Maalum katika Manispaa ya Kinondoni,Lessly Nyambo akizungumza kwenye uzinduzi Mpango Maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...