Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17),akiwa mpiga chenga ya Mwili Beki wa Timu ya Simba,Donald Mtosi wakati mchezo wao wa Nani Mtani Jembe unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Hadi hivi sasa Simba wanaongoza kwa Bao 1-0 na tayari dakika 35 za mchezo zishakatika.Picha zote na Othman Michuzi.
Golikipa Machachari wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiruka juu kudaka mpira uliokuwa unaelekea langini kwake.
Simba wakiandika Bao la Kwanza mnamo dakika ya 19 ya mchezo.
Mashabiki wa Simba.
Ankal mbona kama mrisho ngassa ndo analambishwa nchanga!!! Haaaa haaaaaaa
ReplyDeleteHuyu Ankal na kundi lake kumbe Yanga wa kutupwa!
ReplyDeleteHata habari zao za urongo urongo
Kulaladeki!!!
Semeni sasa mbona mko kimya/
Mbona?
Hamna lolote nyie wezi wa wachezaji mpira hamwezi