Tazama video ya kipindi maalum cha 'Wanawake Live' inayokuonesha stori ya yule mwanamke aliyefekwa miguu na mikono na mumewe. 
 PART 1:  
 PART 2:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Joyce unajitahidi sana lkn nchi yetu kusimama kidete kwa mambo ya unyanyasaji hakuna kabisa hata kama ni waziri inmuhusu lkn ni vigumu kufatilia,wenyewe wanachojua nikupokea tu mishahara yao lkn kujali wananchi wao ni vigumu sana,jamani tumuogope Mungu wanadamu ukipewa kazi fanya kama ulivyotumwa siku ya mwisho utwaulizwa,ni heri ungeikataa hiyo nafasi ya kazi kama uliona hutaweza kutenda kama inavyotakiwa...hii nafasi angepewa Anna Kilango ndio mtu naona kwa wanawake mawaziri mwenye kujua anafanya nini kwenye nafasi yake ya kazi...usichoke Joyce kuyafunua maovu na yanasikitisha sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...