Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Humudi Abdulhussein(kulia)pamoja na Afisa huduma za ziada wa Vodacom Rashid Maggid(kushoto)wakioneshwa namba ya simu na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(katikati)wakati wakichezesha droo kubwa ya mwezi ya "Timka na BodaBoda" ambapo Mkazi wa njiro Mkoani Arusha Bi.Haika Mosha,alijishindia shilingi Milioni 10 pesa taslimu na Rashid Kagomba Mkazi wa Kagera alinyakulia shilingi Milioni tano kwa kuwa mshindi mwenye pointi nyingi wa wiki.kujiunga na promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo kubwa ya mwezi ya Promosheni ya "Timka na BodaBoda" ambapo Mkazi wa njiro jijini Arusha Bi.Haika Mosha alijinyakulia kitita cha shilingi Milioni 10 na Mkazi wa Mleba Kagera Bw.Rashid Kagomba alijishindia shilingi Milioni tano kwa kuwa mshindi mwenye pointi nyingi wa wiki,wanaoshuhudia kushoto ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Humudi Abdulhussein, kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu akionesha namba ya simu kwa waandishi wa habari(hapo pichani)ya mshindi wa droo kubwa wa mwezi katika Promosheni ya"Timka na Bodaboda"ambapo Mkazi wa njiro jijini Arusha Bi.Haika Mosha alijinyakulia kitita cha shilingi Milioni 10 na Mkazi wa Mleba Kagera Bw.Rashid Kagomba alijishindia shilingi Milioni tano kwa kuwa mshindi mwenye pointi nyingi wa wiki,wanaoshuhudia kushoto ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Humudi Abdulhussein, kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
MUUZA DUKA ARUSHA ATIMKA NA MILIONI 10 ZA VODACOM!
ReplyDeleteKwa haraka Taarifa hiyo nilifikiri labda amekabidhiwa MZIGO WA VOCHA ZA VODACOM Dukani kwake akakimbia nazo kumbe ameshinda Droo ya Vodacom!