Familia ya marehemu Mrs.HELLENA JONH MNGUTO  (pichani) inapenda kuwaalika ndugu jamaa na marafiki katika misa ya kumbukumbu ya mama yao  mpendwa Mrs,HELLENA JONH MNGUTO itakayo fanyika nyumbani kwa marehemu NGUVUMALI,  Tanga, tarehe 21/12/2013 saa nne asubuhi.
Misa hii itafuatiwa na ibada  ya kumuombea marehemu itakayo fanyika kesho yake  tarehe 22/12/2013 katika kanisa la ANGILIKANA NGUVUMALI, huko Tanga.Ukiwa ni mwaka mmoja tangu umetutoka mama yetu mpendwa sisi wanao ndugu na wanafamilia wote bado tuna simanzi kubwa na masikitiko kwa kuukosa upendo na ukalimu wako kwetu kwani ulitulea vema kwa kutufunza tabia njema.
Daima utakumbukwa na ndugu zako wajukuu zako woete, kwa sauti moja tunakuombea kwa mungu  akujalie pumziko la amani na la milele mpaka hapo tutakapo kutana tena kwani kazi ya mungu aina makosa. jina lake lihimidiwe,
Amen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...