OFISA UHUSIANO MWANDAMIZ WA MFUKO WA PENSHENI
WA PSPF BW. ABDUL NJAIDI (KUSHOTO) AKIKABIDHI ZAWADI
MBALIMBALI KWA BW. OMARY KYARUZI WA NYUMBA YA KULEA
WATOTO YATIMA YA MWANDALIWA. PSPF IMEJIWEKEA MPANGO
WA KUWAKUMBUKA WATOTO YATIMA KATIKA VIPINDI VYA
SIKUKUU.
OFISA UHUSIANO MWANDAMIZ WA MFUKO WA PENSION
WA PSPF BW. ABDUL NJAIDI (KUSHOTO) AKIKABIDHI ZAWADI
MBALIMBALI KWA MWALIMU RASHID ALI WA NYUMBA YA KULEA
WATOTO YATIMA YA MWANDALIWA. PSPF IMEJIWEKEA MPANGO
WA KUWAMBUKA WATOTO YATIMA KATIKA VIPINDI VYA SIKUKUU.
BW .MOHAMMED MADENGE AFISA KUTOKA MFUKO WA
PENSHENI WA PSPF (KULIA) AKIMKABIDHI SISTA OLIVA PAULO WA
KIJIJI CHA FURAHA ZAWADI MBALIMBALI KWA AJILI YYA WATOTO
WANAOTUNZWA KATIKA KUTUO HICHO, HII IKIWA NI UTARATIBU
WA PSPF KUWAKUMBUKA WATOTO YATIKA KATIKA KIPINDI CHA
SIKUKUU MBALIMBALI.
OFISA UHUSIANO MWANDAMIZ WA MFUKO WA PENSHENI
WA PSPF BW. ABDUL NJAIDI (KUSHOTO) AKIKABIDHI ZAWADI
MBALIMBALI KWA MWALIMU RASHID ALI WA NYUMBA YA KULEA
WATOTO YATIMA YA CHAKUWAMA, PSPF IMEJIWEKEA MPANGO WA
KUWAMBUKA WATOTO YATIMA KATIKA VIPINDI VYA SIKUKUU.
OFISA WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF BW. MOHAMMED
MADENGE (KULIA) AKIKABIDHI ZAWADI MBALIMBALI KWA JUMUIYA
YA NYUMBA YA KULEA WATOTO YATIMA YA AL-MADINA CHILDREN
HOME, PSPF IMEJIWEKEA MPANGO WA KUWAMBUKA WATOTO
YATIMA KATIKA VIPINDI VYA SIKUKUU.
OFISA WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF BW. MOHAMMED
MADENGE (KULIA) AKIKABIDHI ZAWADI MBALIMBALI KWA SISTA
GEUSALDIA WA NYUMBA YA FURAHA NA AMANI, PSPF IMEJIWEKEA
MPANGO WA KUWAMBUKA WATOTO YATIMA KATIKA VIPINDI VYA
SIKUKUU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...