Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Ali Machano (122) mmoja kati ya Waasisi wa ASP wakati alipomtembelea kumjulia hali kijijini kwake Moga Mkoa wa Kaskazini Unguja leo Disemba 24-2013. (Picha na OMR).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hawa ndio Vigogo wenyewe Wanamapinduzi Visiwani Zanzibar!

    Hii ndio hazina adimu iliyobaki kwetu, ni kitendo cha kufurahisha sana kwa Mhe. Dr. Bilal kwa Mzee Ali Machano!!!

    ReplyDelete
  2. Must b the oldest man in the world

    ReplyDelete
  3. ni kweli mzee machano ana umri wa miaka 122 ? nadhani taarifa isambazwe duniani, maana ninafahamu mzee zaidi anayejulikana duniani ana miaka 119 {I stand for correction}

    ReplyDelete
  4. Kama mzee Machano anaweza kuthibitisha umri wake kwa vigezo vinavyokubalika atangia kwenye guiness world record book kama ndie mtu mkongwe anayeishi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...